Mawazo tupu hapa yamenijaa Ex wangu juzi kati alinicheki kuuliza kama nishawahi pima vvu nikamjibu hapana akadai Hua wana utaratibu wa kifamilia kwenda kupima kila mwaka sasa aliipa presha kulingana na mazungumzo yalivyo kua na yapata wiki sasa hapatikani hewani Nimecheki humu zile Dalili za mwanzo naona kama sina ila bado nina stress sana hata kwenda kupima ujasiri sina kabisa