Ungeacha hiyo hiyo Windows 10 na unge update graphics drivers basiNaomben msaada kwa hili Nina pc Toshiba satellite 2core 4gbRam storage capacity 500gb mwanzon nilikuwa nacheza game ya a ina yoyote lakin Sara fifa 14. Tu linakuwa slow nimejatibu kubadili window wapi nlikuwa na window 10 ilikuwa inacheza poa now baada ya mda likaanza kuleta mapichapicha nkabadili window seven lakin bado linacheza ila sometime linakuwa slow plz mwenye ujuzi kwa hili anisaidie nakuwa bored kwel akat gaming ndo my fantasy.
Sasa nimeupdate lakini wapi inanchanganya tuu mkuuUngeacha hiyo hiyo Windows 10 na unge update graphics drivers basi
Ila hata hiyo windows unayotumia fanya ku update graphics drivers zako basi.
Pia chek settings za graphic kweny game lako at least uweke medium au low kama gpu yako kimeo