Habari naomba msaada wa ufafanuzi kuhusu haya mambo kwenye laptop

Brayson Minja

Member
Aug 22, 2017
53
38
Nlkuwa na angalia movie kwenye PC yang then charge adapter ilkuwa nyuma ya screen kama cm 15 iv baada ya mda kutoka kidg na rud after 30mn nakuta screen ime pungua mwanga sana fund aka niambia n ime kufa ic nka nunua scrn nyngn.

Swal lang mm n hili chanzo cha iyo scren kuwa dark (yan ina onysha ata pcha kama giza fln iv) ime sabbshwa na nn ? Au iyo adpter ina mionz ambayo ikiwa karb na pc ina uwa screnn?

Tatizo lingine ap awal nl badlsh keyboard baaz ya keyz zlkuwa az fany kaz nme kaa nayo mda kdg skun na zma pc na kuja wash key baadh az fany kaz i nayo ina shbshwa na nn maan ata aija dondokea maj wal kit chochote

NAOMB MSAADA WA AYO MASWAL APO JUU, NATANGULIZA SHUKRAN ZANGU KWAKO BRO ASANTE
 
Mbona uandishi wako unaonyesha haupo makini kabisa.

Screen haiwezi kuuliwa na adapter hata kama ikikaa karibu. Lazima kuna jambo ulilifanya au screen ilikufa yenyewe.

Keyboard haiwezi kufa yenyewe kwa siku moja, labda uliimwagia kitu , au uliweka sehemu yenye unyevunyevu na ikakaa huko kwa muda wa miezi, au keyboard uliyoweka haikuwa mpya.
 
Nlkuwa na angalia movie kwenye PC yang then charge adapter ilkuwa nyuma ya screen kama cm 15 iv baada ya mda kutoka kidg na rud after 30mn nakuta screen ime pungua mwanga sana fund aka niambia n ime kufa ic nka nunua scrn nyngn.

Swal lang mm n hili chanzo cha iyo scren kuwa dark (yan ina onysha ata pcha kama giza fln iv) ime sabbshwa na nn ? Au iyo adpter ina mionz ambayo ikiwa karb na pc ina uwa screnn?

Tatizo lingine ap awal nl badlsh keyboard baaz ya keyz zlkuwa az fany kaz nme kaa nayo mda kdg skun na zma pc na kuja wash key baadh az fany kaz i nayo ina shbshwa na nn maan ata aija dondokea maj wal kit chochote

NAOMB MSAADA WA AYO MASWAL APO JUU, NATANGULIZA SHUKRAN ZANGU KWAKO BRO ASANTE

Hebu andika vzr kijana utashindwa kusaidiwa unafupisha havieleweki acha utoto
 
Back
Top Bottom