Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
Tumejifunza mengi na tumeonja joto la jiwe ....Lkn taamu kama asali na chunguu kama subiri!! thats lifu!!Dah...thats too bad lkn we can not determine our destinies in life!!!Lilopangwa ndo hilohilo!!
Watu wawili tofauti hao ha ha ha....huyo moja kafukiwa mchangani mwengine kaificha sura,picha imepigwa kwa chini unaonekana mwili tu!
Mzee wa Meditation...!.
Nikupe kisa!! utotoni wakanishawishi nijizike nusu mwili pale "banda Beach" baada ya kujifukia !! Wenzgu wakanikimbia "bingwa Loooh acha nilie na kuomba help"!! Duuh nilikawhshiwa hivivi!!
Najua wanaume wot watakao angalia hii picha kitu cha kwanza kuangalia ni hapo ktkat kama kunakaupenyo...!!labda kama wwe sio mzima.!
Hujatengwa asee ni mambo tu ya hapa na pale tuko pamoja ndugu yangu...!.