Haaaaaaaaaa...!.

Watu wawili tofauti hao ha ha ha....huyo moja kafukiwa mchangani mwengine kaificha sura,picha imepigwa kwa chini unaonekana mwili tu!
 
Najua wanaume wot watakao angalia hii picha kitu cha kwanza kuangalia ni hapo ktkat kama kunakaupenyo...!!labda kama wwe sio mzima.!
 
Umenifurahisha sana ww usiku huu ha ha ha.....pole sana bana halafu ikawaje please niambie walikurudia wakakufukua!!!
Khaah!! kuna kurudiwa hapo ? siunajuwa ushababi... wnakuchuza inakula kwako... "mmmmnazake mmoja Chico akaondoka na kiatu kimoja na T-shirt!! OMG gracious ...nikapigwa tambo hadi home semi-uchi!! Nex Monday school habari zimeenea!!
 
Dah maskin hio ni hatareee haikutosha kukufukia wakabeba na nguo dahhhhhh....afu ukawafanya nini dnt tell me they got away with it??
 
Dah maskin hio ni hatareee haikutosha kukufukia wakabeba na nguo dahhhhhh....afu ukawafanya nini dnt tell me they got away with it??
Ujana una advanture za kizembe!! we wer 5 !! two wakapotezea.... 2 wakanisubiria gogo vivu!! Reprcush/kisasa changu kila nikiwinda... ma Colligs wapo alert!! SOB !! mmoja wao aliiba gari la dingi wake.... kufika kunduchi beach likawa la kusukumasukuma.... hapo sasa!!
 
Ni vizuri kwamba una kitu ukikumbuka unacheka tu ndo raha ya maisha unaishi lkn una kumbukumbu nzuri kiasi cha kwamba ukirecall unajiona u embrased life...Ujana umeutumia vizuri weye!!
 
Ni vizuri kwamba una kitu ukikumbuka unacheka tu ndo raha ya maisha unaishi lkn una kumbukumbu nzuri kiasi cha kwamba ukirecall unajiona u embrased life...Ujana umeutumia vizuri weye!!
Basi nikajifanya mpole wao wasukume mie dereva...Eeebwanawee lilipowaka tu nikachanganya nikawaacha wote !!! walinihasimu na kunikasrikia!!
 
Tamamu, baba mtu akatoa radhi kwa mwanae...next term shuleni wakapashwa!! The boy akafanyiwa sanction to meet with ZZ !!ufrendi ukasambaratika!!
Lakini tulijisihi na grow more close sasa tuna global whatsap!!
ahhh bana mbona sad ending!!Kwann urafiki ukasambaratika???
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…