Nawashukuru wote mlionipa pole ,moyo na ushauri jinsi ya kukabiliana na mazingira yale ila mmmh pamenishinda,huko ntarudi kulima tu loh!
Arushaone thenks sana my dia kwa ushauri wako.
Arovera nitafata ushauri wako kama ulivyonieleza,
lusungo -am happy now my frend,
sosoliso mwambie babu am safe now
Mdau ubarikiwe kwa ushauri wako ,
Rogie nashukuru kwa pole loh tuonane june! Ha
HUNIJUI Fidel80 dikembe kwamtoro Jerrymsigwa chopeko NGANU chonbinsky @horseshoe arch
Manka m
Dinazarde mwekundu dah na wengine mliokuwa nami mbarikiwe!...... wacha sasa nifanye kazi niache majungu! (Afu mjue vile vihela vyao bado sijavila mana nilikuwa na hasira ha ha ha kesho mjinii kununua dressing table loh mwalimu kujiremba!!!)... Kwaherini jamani!!