Robert Mbathane
Member
- Apr 6, 2024
- 17
- 24
H. pylori ni nini?
Ni bakteria hatari wanaoishi tumboni na mara nyingi husababisha gastritis, vidonda vya tumbo na hata saratani ya tumbo.
Dalili kuu:
✅ Maumivu makali ya tumbo (hasa ukiwa hauna chakula tumboni ukiwa na njaa)
✅ Kichefuchefu, gesi nyingi na tumbo kujaa
✅ Kukosa hamu ya kula na kupungua uzito
✅ Wakati mwingine kutapikkutapikna kujisaidia haja kubwa yenye rangi nyeusi
👉 Ukipata dalili hizo na usipochukua hatua mapema madhara ni makubwa zaidi.
“Fanya uchunguzi na kupata ushauri mapema.
Usiruhusu maumivu ya tumbo kudhoofisha maisha yako.
Wasiliana na R.J. Counselling & Medical Consultant – +255 692 689 788 kwa ushauri & Matibabu”