H.polepole asikilizwe ebu angalia

Mtu_imara

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2023
Posts
347
Reaction score
499
Tanzania wajumbe wanajipatia BAISKELI za bure nchi nzima, Traole Raisi wa Burkina Faso anapambana kukuza Sekta ya Kilimo nchini kwake wasiwe Wategemezi kwa wazungu.
 
Attachments

  • 1754831850448.jpg
    461.6 KB · Views: 12
Tanzania wajumbe wanajipatia BAISKELI za bure nchi nzima, Traole Raisi wa Burkina Faso anapambana kukuza Sekta ya Kilimo nchini kwake wasiwe Wategemezi kwa wazungu.
Mtangazaji mmoja alipokuwa anatangaza mechi kati ya Tanzania dhidi ya Burkinafaso katika mashindano yanayoendelea ya CHAN alikuwa anaitaja Tanzania kama Tanzamavi! Ukisikiliza dhafudhi na umahiri wake wa kiingereza utajua ni mzungu
 
Huyu mama kweli ametushinda midume yote ya Tanganyika takribani milioni 32??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…