Wakuu nahitaji vifaa vya gym kwa ajil ya kuanzisha gym centre,kama kuna anayejua vinapopatikana kwa bei nafuu naomba kujulisha.Unaweza kunipa hata bei ya kila kifaa kama utakuwa nayo au contact za mahali ambapo ntapata.

Mkuu nenda game pale mlimani city,however,unatakiwa ufahamu basic equipments ambazo ni muhimu zaidi kwa gym kulingana na wateja wako,si zote uyazipata game,ila kuna baadhi tu kama home gym,benches,steps,etc.goodlucky