mandwa JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 1,502 Reaction score 372 Jan 11, 2014 #21 hii mi gx100 mbona watu wanauza sana siku hizi juzi jamaa yangu kanunua kwa boss kwa bei ya 3.5mil
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,944 Reaction score 810 Jan 11, 2014 #22 mandwa said: hii mi gx100 mbona watu wanauza sana siku hizi juzi jamaa yangu kanunua kwa boss kwa bei ya 3.5mil Click to expand... Wese mkuu ya kwangu niliiuza humuhumu jf kwa 3m tu
mandwa said: hii mi gx100 mbona watu wanauza sana siku hizi juzi jamaa yangu kanunua kwa boss kwa bei ya 3.5mil Click to expand... Wese mkuu ya kwangu niliiuza humuhumu jf kwa 3m tu
IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 802 Jan 11, 2014 #23 Kumbe majanga, nataka kujitosa humo, au si hatari kihivo?
IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 802 Jan 11, 2014 #24 Ila mwenye nayo aniuzie 3.8 m. Ila isiwe na majanga zaidi ya wese.
mosesnicolus JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 285 Reaction score 26 Jan 12, 2014 Thread starter #25 The car is sold tayari