GX 110 Ipo sokoni bei poa kabisa

king'amuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
614
Reaction score
225
Gx110 ipo sokoni rangi ni white pearl ipo katika hali nzuri engine 1980cc transmition ni automatic ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote mwenye kuhitaji fika sinza mapambano utaiyona, bei ni 7.5 mil hakuna maelewano zaidi.
mawasiliano ni 0784 613689
 
7.4 mil hauchukui? naihitaji asap,,
 
hakuna maelewano umeitoa kiwandani na km sufuri???? rahisisha mada tu sema unashida/uhitaji wa mil.7.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…