ndio maana nahitaji msaada kununua ndio ilikua mara ya kwanza na sipendi unaamka asubuhi na mawazo hapo unahitajika msaada@angelKhaaaa masaa2 ulafi gani huo??? Bora uendelee kununua wakuzawadie na magonjwa
hahahah sio tangazo mkuu maana hamna humu jf anaeweza vumilia huo mshindo ila ninahitaji ushauri kama kuna njia ya kunifanya nifike mapema maana humu kuna watu wote including madactariPM zimefika ngapi mkuu? Limekaa kama tangazo hivi.....ndukiii
Hilo ni tatizo la kawaida kwa watu wanaopiga punyeto, watu wanaogegeda mara kwa mara! ushauri wangu punguza punyeto mzee kama kweli hufanyi huo mchezo kama ulivyosema basi fanya mapenzi mara chache! punguza kupiga pushapu, kula tikiti maji na pia punguza kula vyakula vya carbohydrate kwa wingi naamini unakula sana wanga mzee!!!!!!!!!!!!!!
Huyo ndo safi atakufaa au unaogopammh hicho kifanyio chako cha kibinadamu kweli? hebu kichunguze vizuri. saa moja na nusu kwa mtoto wa mwanaume mwenzio????/
asante kwa ushauri hilo la punyeto sio ila la push up inawezekana cos nafanya sana mazoezi i am physically fit sana so nitalifanyia kazi hilo
Unaenda wapi? huko unakoenda hakuna njia wamezibaNapita
hahahhha bora unisaidie ndio hivyo ninavyo kimbiwa kila mtu ndukiUnaenda wapi? huko unakoenda hakuna njia wameziba
Jamani wana jamnvi mi i think nina tatizo nimeisha acha ma girlfriend wawili cos hawanifikishi sexually, i mean sifiki mshindo, hawa wote wawili niliokua nao kila tukifanya mapenzi yaani nikianza kupiga papunchi zao baada ya dakika 20 au 25 utakuta wameisha fika then nikiendelea baada ya dakika tano la pili wakati mi ndio kwanza mashine bado ngumu na mishipa ya damu imechomoza kama inataka kupasuka then unakuta dem wangu ameisha choka nikibembeleza sana atleast apige cha tatu labda na mimi nitakamua kimoja unakuta kweli amechoka ninakua kama namtesa then baada ya five minites anapiga harafu mi bado baada ya hapo hataki kuendelea anasema papunchi inawaka moto so mi nabaki bilabila, sasa baada ya kujiuliza maswali nikamshirikisha friend wangu wa karibu ambae ni doctor akaniambie chukua dem wa kununua ndio wanahimili muda mrefu harafu nione then mtoto wa kiume nikajivuta mpaka hotel moja hywa napigaga kilaji baada ya kupiga maji nikamuomba one of wale mawaitress anipe game akakubali, tukaingia game wakuu kwakweli for the first time nime cum lakini imenichukua saa moja na nusu sasa swali hii ni nomal au sio maana yule rafiki yangu doctor yeye ni mtaalamu wa magonjwa ya watoto sasa majibu yake nataka nichanganye na yawana jamii please na hilo ni bao moja ndio saa moja na nusu sasa nikitaka la pili si ndio matatu kabisa na dem wa kuhimili hio mikiki yupo kweli au nitakua na nunua for the rest of life?,
note wazee wa punyeto sijawahi piga hii kitu kabisa
Yani umenichekeshaaa,tafran za foleni zimepungua kichwani, enhe saa nzima kijana una katika jasho Kama unalima shamba, sasa mda wote huo unatumia kwenye bao la pili au ndio unalitafuta la kwanza? Una umri gani? Unajishughulisha na nini?[a /QUOTE]
Da ndugu majanga haya ndio nashindwa kuelewa na nikitoka hapo ya huwa na feel kuchoka maana hapo nitabadidi staili zote mwili unachoka balaa lakini huwa nataka kuendelea na cha pili nipo kwenye 30s na nafanya vibiashara kidogo
mmh hicho kifanyio chako cha kibinadamu kweli? hebu kichunguze vizuri. saa moja na nusu kwa mtoto wa mwanaume mwenzio????/