kama ulienda kufanya usajili alafu ukahairisha wew utakuwa moja kwa moja mwanafunzi wa chuo husika hautofanya tena udahili utapewa barua ya chuo ya kusimama masomo ukirudi unaenda ku report admission office taratibu nyingine zinaendelea , kama haukwenda ku report inabid kufanya usajili upya tena inabidi uende kuondoa jina lako TCU maana unaweza kupata tabu ya kuonekana unasoma wakati chuo haupo hivyo system za udahili zikakutema.