Guest ya sh 15000-20000

Unataka kununua kunguni kwa bei hiyo??

Hakikisha hupeleki mifugo nyumbani. Ukifka kwako vulia nguo nje kabisa uingie uchi ndani, kimbembe kama umpenga chumba kimoja🤣🤣
🤣🤣🤣
 
Kwanini uingie gharama? Hapo hapo ulipo great park Kuna uchochoro nyuma ya Hilo godown la tbl wenzio wanamalizia hapo.
 
Dadeki.....kwa comment za watu humu inaonekana hawachukui room chini ya dola 50, hapo ndo utaipendea JF kila mtu yuko njema.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…