Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,609
Ngoja tumuulize Mh. Lissu lazima atakuwa anajua.hao umoja wa ulaya wana mamlaka gani kwenye siasa za nchi za watu wakat ya kwao yanawashinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata hapa kwetu lazima watafanya hivyo pia na hapa nadhani watakuja na fimbo kabisa!Ngoja tumuulize Mh. Lissu lazima atakuwa anajua.
Walianza Kama hivyo hivyo Syria Na maazimio ya umoja wa mataifa wakiongozwa na marekani kuanzia 2011 Huku mataifa yote ya kiarabu yakimuunga mkono marekani Na nchi za ulaya Ila mshirika wake mkuu Russia akabadilisha wasio mtaka mpk Leo Yuko madarakani Na nchi inaelekea kutulia na Huko yanako tendeka Hyo Hakuna tofauti na Syria lkn nakuakikishia yatapita Hyo na Hakuna kutoka mtu hpoHuyo dikteta ang'olewe tu alifanikiwa kubakia madarakani kupitia uchaguzi "Feki". Anaona fahari gani kukomalia madaraka ilhali wananchi hawamtaki na uchumi ameshabaka.
Zaidi ya raia milioni mbili wamekimbia masaibu aliyosababisha yeye na kama asipong'oka basi itabidi abanduliwe tu Gaddafi style.
Hata yeye akikaa akiwaza ataendeleaje kung'ang'ania madarakani huku raia wakiwa hawamtaki? Hayo mataifa yanayomdanganya akina Russia, China, Turkey sijui na Mexico hawawezi kumsaidia kiuchumi make hawana uwezo huo kwani na wenyewe ni wapigaji tu. Hawana lolote.
Mbona hawamkamati na kumtupa lupango kama kweli amefanya "jaribio la mapinduzi"?. Issue ya Venezuela ni delicate sana na siku za Maduro zinahesabika.Hivi karibuni Waziri wa Ulinzi, Jenerali Vladimir Padrino, alionekana katika mkutano na waandishi wa habari Alhamisi wiki hii huko Caracas akizungukwa na uongozi wa jeshi katika ngazi ya juu ili kulaani "jaribio la mapinduzi" lililofanywa na spika wa Bunge.
Walianza Kama hivyo hivyo Syria Na maazimio ya umoja wa mataifa wakiongozwa na marekani kuanzia 2011 Huku mataifa yote ya kiarabu yakimuunga mkono marekani Na nchi za ulaya Ila mshirika wake mkuu Russia akabadilisha wasio mtaka mpk Leo Yuko madarakani Na nchi inaelekea kutulia na Huko yanako tendeka Hyo Hakuna tofauti na Syria lkn nakuakikishia yatapita Hyo na Hakuna kutoka mtu hpo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe kwa akili zako unafikiri Syria kuna nchi tena pale, si ni magofu tu wamebakiza.Walianza Kama hivyo hivyo Syria Na maazimio ya umoja wa mataifa wakiongozwa na marekani kuanzia 2011 Huku mataifa yote ya kiarabu yakimuunga mkono marekani Na nchi za ulaya Ila mshirika wake mkuu Russia akabadilisha wasio mtaka mpk Leo Yuko madarakani Na nchi inaelekea kutulia na Huko yanako tendeka Hyo Hakuna tofauti na Syria lkn nakuakikishia yatapita Hyo na Hakuna kutoka mtu hpo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi ndogo ndogo zinazomuunga mkono Rais Maduro Ni China, Urussi, Mexico....na zinginezo...umeandika mwenyewe au umeandikiwa[emoji849]Juan Guaido, aliyejitangaza rais wa mpito wa Venezuela ametoa wito wa kufanyika kwa maandamano mapya Jumatano na Jumamosi kwa lengo la kushinikiza jeshi, linaloendelea kumtii Rais rais aliyechaguliwa Nicolas Maduro, na kuunga mkono onyo la Ulaya kwa ajili ya uchaguzi huru.
"Jumatano kuanzia saa sita hadi saa nane mchana, nchini kote Venezuela tutamiminika mitaani (...) kuomba jeshi la nchi kuunga mkono madai ya wananachi, na Jumamosi (tunatoa wito) wa kufayika kwa maandamano kubwa nchini Venezuela na kwingineko duniani kuunga mkono onyo la Umoja wa Ulaya, "amesema Juan Guaido, Spika wa bunge la venezuela, mwenye umri wa miaka 35.
Siku ya Jumamosi nchi sita za Ulaya (Uhispania, Ufaransa, Ujerumani, Uingereza, Ureno, Uholanzi) zilimpa Nicolas Maduro muda wa siku nane kuitisha uchaguzi, la sivyo zitamtambua Juan Guaido kama rais wa mpito wa Venezuela. Muda huo utatamatika siku ya Jumapili.
Tayari Marekani na nchi kadhaa za Amerika Kusini zimetangaza kuwa zinamtambuwa Juan Guaido kama rais wa mpito wa Venezuela.
Kwa upande wa kimataifa, nchi ndogo zinamuunga mkono Nicolas maduro, ikiwa ni pamoja na China, Uturuki, Mexico na Urusi.
hata hivyo Juan Guaido ameendelea kupokea uungwaji mkono.
Siku ya Alhamisi jioni alitangaza kwamba anataka kuandaa haraka uchaguzi mpya.
Hivi karibuni Waziri wa Ulinzi, Jenerali Vladimir Padrino, alionekana katika mkutano na waandishi wa habari Alhamisi wiki hii huko Caracas akizungukwa na uongozi wa jeshi katika ngazi ya juu ili kulaani "jaribio la mapinduzi" lililofanywa na spika wa Bunge.
"Ninatoa tahadhari kwa raia wa Venezuela kwamba jaribio la mapinduzi limefanywa dhidi ya taasisi za uongozi wa nchi, dhidi ya demokrasia, dhidi ya Katiba yetu, dhidi ya Rais Nicolas Maduro, rais wetu halali," alisema waziri huyo.
Awali Majenerali wanane ambao wanaongoza Majimbo muhimu ya nchi hiyo walisema bado "wanamtii" Rais Nicolas Maduro, katika ujumbe uliorushwa kwenye televisheni ya serikali.
Syria na umasikini wake kutokana na wababe wa Vita kufanya nchi ya majaribio ya silaha zao, unafikiri Ni masikini Kama nchi yako ya Jiwe....Hivi wewe kwa akili zako unafikiri Syria kuna nchi tena pale, si ni magofu tu wamebakiza.
Unaifahamu vipi Venezuela? Ni nchi ya namna gani? Na ni nini kiini cha mkanganyiko wa hayo yote?Huyo dikteta ang'olewe tu alifanikiwa kubakia madarakani kupitia uchaguzi "Feki". Anaona fahari gani kukomalia madaraka ilhali wananchi hawamtaki na uchumi ameshabaka.
Zaidi ya raia milioni mbili wamekimbia masaibu aliyosababisha yeye na kama asipong'oka basi itabidi abanduliwe tu Gaddafi style.
Hata yeye akikaa akiwaza ataendeleaje kung'ang'ania madarakani huku raia wakiwa hawamtaki? Hayo mataifa yanayomdanganya akina Russia, China, Turkey sijui na Mexico hawawezi kumsaidia kiuchumi make hawana uwezo huo kwani na wenyewe ni wapigaji tu. Hawana lolote.
Jeshi limekwisha tangaza lipo pamoja naye, Ukisoma habari ya mleta Uzi utaona Guaido analisihi jeshi limuunge mkono.Yaani mtu anajitangaza Raisi na bado yuko mtaani anatanua? Apa kuna shida kwa Maduro yawezekana keshachoka au Serikali/ Jeshi limeshameguka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Venezuela tegemezi inatembeza bakuli usiseme hivyo lazima mataifa makubwa kuichezesha hadi itakapo heshimu maamuzi ya wengi. Tanzania hasa Zanzibar yajayo yanafurahisha.hao umoja wa ulaya wana mamlaka gani kwenye siasa za nchi za watu wakat ya kwao yanawashinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninacho zungumzia mm km unauwelewa na naomba nikukumbushe Kitu walivyo vamia Libya zamira ilikua kumtoa Gaddafi madarakani kupitia maazimio ya umoja wa mataifa 2011 hawakujali kuwa nchi Ingekuwa kwenye Mazingira gn Bali wao waliangalia maslah yao Na hivyo hivyo Syria zamira Kuu ilikua kumtoa Assad madarakani kupitia direct and direct war hawakujali nchi Inge kuwa Mazingira Yp bl n maslah tu waliangalia n kwl nchi imebomoka lkn km mwanzo waliweza kujenga kwa nn washindwe lkn Leo hii zile kelele za marekani Na washirika wake kuwa hawamtaki zimepungua Kutokana Na uwelewa wko MDOGO kuhusu siasa Ndio maana umeandika hivyo lkn I guarantee you and note my name pale ni km Syria tu kelele Nying na sanction tu bc lkn kutoka madarakani n Kitu kugumu Kwa sababu russia na China wameinvest pale pesa Nying wakiruhusu tu wame kula hasara n Kitu kugumu sana Na ninakushanga hutafakari kwa Kina Na km unakumbuka baada ya Libya kuvamiwa kipindi kile putin n waziri Mkuu baada Ya kuwa rais tena alizungumza hawata kubali tena kilicho Tokea Libya kitokee tena. Cold War coming soonHivi wewe kwa akili zako unafikiri Syria kuna nchi tena pale, si ni magofu tu wamebakiza.
Kwa nini Maduro asumbuke naye? Guaido hana jeshi, hana mamlaka yoyote ndani ya nchi zinazomtii. Hata Polisi hawamtii. Sasa kwa nini asumbuke naye?Mbona hawamkamati na kumtupa lupango kama kweli amefanya "jaribio la mapinduzi"?. Issue ya Venezuela ni delicate sana na siku za Maduro zinahesabika.
Maduro hamuwezi. Guaido ni Speaker na President wa National Assembly. Amequote vifungu vya Katiba yao vinavyompa uhalali wa kujitangaza, albeit kinyume na utaratibu. Kule nadhani hakuna mambo ya "Mhimili uliojichimbia chini zaidi". Angekuwa ni mtu mwingine kafanya aliyoyafanya Guaido, sasa hivi angekuwa ndani kwa treason chargesKwa nini Maduro asumbuke naye?