mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Boss unataka la platform gani?oy mkuu kama unalo hilo GTA V liweke hapa nilipakuwe now
Ninalo kwenye hard discPC mkuu
upo maeneo gani?Ninalo kwenye hard disc
Msasani mzee. Game ni kama 23GB hivi ila installation yake inafika GB 120upo maeneo gani?
[emoji41] [emoji41] [emoji41]Kwa gamers wa ukweli watakua wanaelewa hii.
Baada ya Michael kufake his death for 10years, Trevor agundua kua Michael yuko hai. Aamua kumfata nyumbani kwao ili kumuua lakini, Kutokuepo kwa Tracey (Binti wa Michael) kunachelewesha tukio hilo.
<font color = "red"> wale gamers wote especially wanaocheza GTA tukutane online tupull some heist pamoja </font>
Hehe i have all reason to belive wewe ni player wa GTA pia[emoji41] [emoji41] [emoji41]
una files zote?Msasani mzee. Game ni kama 23GB hivi ila installation yake inafika GB 120
huwezi kulitupia hapa mkuu nikalipakua fasta lakini kama kuna uwezekano tu kwasababu nilishalitafuta kila kona nikalikosaNinalo kwenye hard disc
U are 100% right mkuu [emoji1]Hehe i have all reason to belive wewe ni player wa GTA pia
Iko complete kakauna files zote?
Ukiforce unaweza cheza kwenye low setupMkuu hivi hyo gta v katika pc yangu ya acer aspire core i3 2.3ghz ram 4gb na 1tb hdd itakubali.
Mkuu GB 29 na mapoint kadhaa. Unaweza jituma ukalipost huku umeshapoteza MaGB alafu mamod walivo hawana huruma wakafuta thread [emoji23][emoji23][emoji23]huwezi kulitupia hapa mkuu nikalipakua fasta lakini kama kuna uwezekano tu kwasababu nilishalitafuta kila kona nikalikosa
Mkuu una playstation plus? Kama ndio mimi nasubscribe yangu wiki hii tukutane GTA online [emoji41]U are 100% right mkuu [emoji1]
naomba namba yako kakaIko complete kaka
Hili ni game au NYONYAJI SPACE????!!!!Msasani mzee. Game ni kama 23GB hivi ila installation yake inafika GB 120
[emoji23][emoji23][emoji23]Hili ni game au NYONYAJI SPACE????!!!!