Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,322
- 10,198
Kaka kama hujui mambo uliza aseee.....Tatizo lenu nyie mashabiki oya oya hukariri Mambo....hahahaha...ni Nani amekwambia kwamba kule Simba wana pesa? Hakuna kitu Kama hicho...kule Kuna mtu anaitwa Mo ndiye mwenye pesa na siyo Simba...huko Yanga pia Kuna watu wa Aina ya Mo ambao wanaweza kujitokeza...wakati wa Manji Kuna mashabiki wanaokariri nao walikuwa wanadhani Yanga ina pesa...alipoondoka Yanga ikabaki Kama ilivyokuwa awali...Manji aliondolewa Yanga baada ya issue yake kugeuzwa kuwa ya kisiasa...Simba inabidi mkae chini na mtafakari after Mo what next for Simba...Mo hawezi kubaki milele Simba ataondoka tu...kwa analysts wazuri Mo hana miaka minne zaidi Simba....kwa hiyo acha kudhani kuwa Simba ina fedha...mwenye pesa ni Mo na siyo Simba...hivi uliwahi kujiuliza account ya Simba ina shilingi ngapi huko benki na kiasi gani wamelipa TRA Kama mapato?...Unafahamu kilichoipata AC Milan kule Italia? Ile klabu ilikuwa ya tajiri S. Berluscon ambaye aliwshi kuwa Waziri Mkuu wa Italia...baadaye alishitakiwa na hata kufungwa kwa Mambo kibao yakiwemo ya kukwepa Kodi Kama sijakosea...Sasa sijui hiyo AC Milan iko nafasi ya ngapi keenye ligi ...ninachofahamu sidhani Kama. hata kwenye nane Bora imo...
Sawa ndugu yangu Sasa hiyo kampuni kwenye akaunti yake huko benki ina kiasi gani na imelipa kiasi gani huko TRA Kama Kodi ya mapato??
Aseee. Bro kwa Mara nyingine unaboronga.Wewe unafikiri huyo GSM ni nani? Mimi nadhani huyo GSM ni Sponsor...Sasa huyo Mo kule Simba ni mwekezaji kweli? Au ni Sponsor? Au ni owner yaani mmilki? Au ni vyote? Hivi alimteua Makonda akiwa ni mwekezaji au mmiliki au sponsor?
Nadhani kwa kauli hiyo ndugu yangu wewe ndiye unajiabisha ...atauza kampuni au atauza hisa?? Ni wapi Mimi nimedanganya ...Simba ni kampuni kweli?? Au Simba inamiliki kampuni..? Kama Simba ni kampuni tukienda kwa Registrar of companies je tutakuta jina gani pale? Hivi unajua kuwa yanga ndiyo iliyokuwa ya Kwanza kujiandikisha kuwa kampuni ? What happened? Baadaye yanga nayo ikaanzisha kampuni..what happened?!Kaka kama hujui mambo uliza aseee.....
Unajiabisha mtu mzima unavyodanganya.
Simbà ni kampuni MO anamiliki asilimia 49 za hiyo kampuni so akiondoka atauza...
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said dogo..bila Shaka kutakuwa na mkutano wa wanahisa na itafahamika hahahaAseee....mkuu usiulize maswali yasiyo na vichwà....
Ulichokiongea ww ni sawa mtu aulize TBL...ni kampuni.....inalipa tshs..ngapi TRA?....Ina kiasi gani bank?...maswali yasiyojibika kwa mtu makini kwani...yanahitaji data kamili kutoka bodi ya wakurugenzi..we unauliza huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa tutaisoma ...hahahaAseee. Bro kwa Mara nyingine unaboronga.
Mo.ndo mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi...
Nadhani tatizo ni kuwa hujui structure ya SIMBA SPORTS CLUB LIMITED...
Ipo kaisome
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka ushahidi wa barua imiyoandikwa na GSM Unless ww Ni mropokaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu nyie mashabiki oya oya hukariri Mambo....hahahaha...ni Nani amekwambia kwamba kule Simba wana pesa? Hakuna kitu Kama hicho...kule Kuna mtu anaitwa Mo ndiye mwenye pesa na siyo Simba...huko Yanga pia Kuna watu wa Aina ya Mo ambao wanaweza kujitokeza...wakati wa Manji Kuna mashabiki wanaokariri nao walikuwa wanadhani Yanga ina pesa...alipoondoka Yanga ikabaki Kama ilivyokuwa awali...Manji aliondolewa Yanga baada ya issue yake kugeuzwa kuwa ya kisiasa...Simba inabidi mkae chini na mtafakari after Mo what next for Simba...Mo hawezi kubaki milele Simba ataondoka tu...kwa analysts wazuri Mo hana miaka minne zaidi Simba....kwa hiyo acha kudhani kuwa Simba ina fedha...mwenye pesa ni Mo na siyo Simba...hivi uliwahi kujiuliza account ya Simba ina shilingi ngapi huko benki na kiasi gani wamelipa TRA Kama mapato?...Unafahamu kilichoipata AC Milan kule Italia? Ile klabu ilikuwa ya tajiri S. Berluscon ambaye aliwshi kuwa Waziri Mkuu wa Italia...baadaye alishitakiwa na hata kufungwa kwa Mambo kibao yakiwemo ya kukwepa Kodi Kama sijakosea...Sasa sijui hiyo AC Milan iko nafasi ya ngapi keenye ligi ...ninachofahamu sidhani Kama. hata kwenye nane Bora imo...
Hiyo aliwaambia Utopolo kujikosha tu . Shishimbi Mcongoman . Anataka kula bata mjini kwa kupata mshahara wa uhakika Simba . Atakuwa anapata 5M na 30M za kusaini mkataba basi . Ni mawazo yangu tu .shishimbi hana thamani ya kulipwa huo mshahara...kwanza umri umekwenda, injury prone...ntashangaa kama yanga au simba watamlipa huo mshahara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahh...hasira za Nini...kwanini unatanguliza neno ujinga...umepanic kwanini??hivi wiki chache zilizopita alipotangaza kuachia ngazi na baadhi wakamuomba asifanye hivyo alitumia taratibu zipi?Acha ujinga wewe . Simba sasa hivi ipo kwenye mfumo wa kisasa . MO hafanyi hisani Simba . Amewekeza pale . Hawezi kujiondoa kienyeji bila kufuata taratibu za kibiashara au kimkataba . Akitaka kuondoka kama muwekezaji zitaangaliwa terms za makubaliano wakati wa kuwekeza . Ana 49% ya hisa . Kwahiyo pamoja na mambo mengine anatumia brand ya Simba kutangaza products zake . MO anaitumia Simba na Simba inamtumia MO . Ni win win situation .
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanalilia kupiga picha?? Siamini kuwa ni hivyo...ila kwa haraka haraka naweza kusema kuwa pande zote Zina makosa...pamoja na kutoa fedha GSM wawashiirikishe pia kiongozi katika Mambo ya msingi ...wasifanye Mambo as if hakuna uongozi...halafu kiongozi nao waache utoto..waache kulalamika kusikohusika...Kama lipo tatizo la coordination waitishe kikao Kati ya GSM na uongozi kuweka Mambo sawa...vinginevyo wataondolewa wao viongozi muda siyo mrefu ujao...The way I see it Katibu hajui administration na management...nadhani amepata nafasi hiyo kiushikaji na kwa majungu..
Wewe unafikiri huyo GSM ni nani? Mimi nadhani huyo GSM ni Sponsor...Sasa huyo Mo kule Simba ni mwekezaji kweli? Au ni Sponsor? Au ni owner yaani mmilki? Au ni vyote? Hivi alimteua Makonda akiwa ni mwekezaji au mmiliki au sponsor?
Hili nalo nenoIshu kubwa ni Yanga kuendeshwa kiswahili, viongozi hawana vision, na ndio maana watu kama GSM wana-take advantage kufanya wanachojisikia nje ya utaratibu sahihi wa taasisi.
Utoaji wa pesa usioweza kukaguliwa unaruhusu watu kutumia njia hiyo kusafisaha pesa chafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha comedy basi inamaana hujui kama simba imeuza hisa kwa mo ?Tatizo lenu nyie mashabiki oya oya hukariri Mambo....hahahaha...ni Nani amekwambia kwamba kule Simba wana pesa? Hakuna kitu Kama hicho...kule Kuna mtu anaitwa Mo ndiye mwenye pesa na siyo Simba...huko Yanga pia Kuna watu wa Aina ya Mo ambao wanaweza kujitokeza...wakati wa Manji Kuna mashabiki wanaokariri nao walikuwa wanadhani Yanga ina pesa...alipoondoka Yanga ikabaki Kama ilivyokuwa awali...Manji aliondolewa Yanga baada ya issue yake kugeuzwa kuwa ya kisiasa...Simba inabidi mkae chini na mtafakari after Mo what next for Simba...Mo hawezi kubaki milele Simba ataondoka tu...kwa analysts wazuri Mo hana miaka minne zaidi Simba....kwa hiyo acha kudhani kuwa Simba ina fedha...mwenye pesa ni Mo na siyo Simba...hivi uliwahi kujiuliza account ya Simba ina shilingi ngapi huko benki na kiasi gani wamelipa TRA Kama mapato?...Unafahamu kilichoipata AC Milan kule Italia? Ile klabu ilikuwa ya tajiri S. Berluscon ambaye aliwshi kuwa Waziri Mkuu wa Italia...baadaye alishitakiwa na hata kufungwa kwa Mambo kibao yakiwemo ya kukwepa Kodi Kama sijakosea...Sasa sijui hiyo AC Milan iko nafasi ya ngapi keenye ligi ...ninachofahamu sidhani Kama. hata kwenye nane Bora imo...
wewe kiumbe mo aliachia ngazi uenyekiti wa body ya wadhamini simba.akuachia ngazi kwenye udhamini wala hisa alizonunua bali ni uwenyekiti wa body.Dahh...hasira za Nini...kwanini unatanguliza neno ujinga...umepanic kwanini??hivi wiki chache zilizopita alipotangaza kuachia ngazi na baadhi wakamuomba asifanye hivyo alitumia taratibu zipi?
Kwani Manji siyo mtu ....vipi kuhusu GSM...wako wengi mno...ila kwa Sasa mazingira hayaruhusu...Acha comedy basi inamaana hujui kama simba imeuza hisa kwa mo ?
Haya embu nitajie hao watu kama mo kwa upande wa yanga ni nani.hao gsm tu yanawashinda ndo itakua mtu tu atoe hela zake kiholela kuwapa watu wazitafune!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe...unadhani ilikuwa nivhivyo tu...inawezekana Mimi nina taarifa za ndani kuliko wewe maenzangu 'mwanahisa'wewe kiumbe mo aliachia ngazi uenyekiti wa body ya wadhamini simba.akuachia ngazi kwenye udhamini wala hisa alizonunua bali ni uwenyekiti wa body.
Sent using Jamii Forums mobile app