hili lilikuwa swala la muda tu. Asilimia kubwa ya viongozi pale yanga ni wanasiasa na nia yao kubwa ni kupata umaarufu kwa kuitumia yanga ili iwasaidie kisiasa na si vingine. GSM kuisaidia yanga kunazima ndoto zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nao hao viongozi walijisahau! Ukibebwa mgongoni, usikunje miguu! Walikuwa wanatakiwa watafute ufumbuzi wa kudumu. Ile kutokea mtu/taasisi wa KUJITOLEA kwa kipindi fulani, ndio wakajisahau kabisaaaaaa!hili lilikuwa swala la muda tu....asilimia kubwa ya viongozi pale yanga ni wanasiasa...na nia yao kubwa ni kupata umaarufu kwa kuitumia yanga ili iwasaidie kisiasa na si vingine....GSM kuisaidia yanga kunazima ndoto zao..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamesema wanamsajili was umri mdogo. Pia wanamtaka "yosso" Kelvin Yondani.Simba nayo hovyo tu sasa Tshishimbi wa nini?
Simba nayo hovyo tu huyo yandani anaelekea ukingoni.Wamesema wanamsajili was umri mdogo. Pia wanamtaka "yosso" Kelvin Yondani.
Combination ya Pappy na Mkude sioni ikifanikiwa. Similar type of players.
Sawa msemaji wa YangaKule utoporoni hali imechafuka,baada ya GSM kuiandikia Yanga barua rasmi kuwa wanasitisha kuisaidia timu kwa mambo ambayo yapo nje ya makataba,kwa kile walichokieleza kuwa baadhi ya viongozi wa Yanga wanalalamika kuwa wanaingiliwa na GSM katika utendaji.
Baadhi ya mambo ambayo GSM wamekua wakiyafanya zaidi na nje ya mkataba ni pamoja na kusajili wachezaji(Niyonzima,Morison, lamin Moro,na Nchimbi).Pia kulipa mishahara,kulipa gharama za kambi,kulipa nauli za ndege pamoja na kutoa bonasi kwa kila mechi ambazo timu ilishinda ikiwemo ile Mil.200 waliyoahidiwa dhidi ya Simba.
Wakati huo huo kuna taarifa za chini chini kuwa Papii Shishimbi amesaini mkataba wa awali na Simba na ni swala mda tu atatambulishwa rasimi pale Msimbazi.
Inaelekea uongozi Yanga chini ya Msolwa na Mwakalebela unashida kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba kama Man U tu mkuuSimba nayo hovyo tu sasa Tshishimbi wa nini?
Nani atakubali atoe hela yake kununua timu mbovu?kama kuna mtu ana hela aje tumuuzie hii team
Msola na knowledge yake ya football na PHD havimsaidii...anakosa influence na vision kweli!?Nao hao viongozi walijisahau! Ukibebwa mgongoni, usikunje miguu! Walikuwa wanatakiwa watafute ufumbuzi wa kudumu. Ile kutokea mtu/taasisi wa KUJITOLEA kwa kipindi fulani, ndio wakajisahau kabisaaaaaa!
Sent using Jamii Forums mobile app