G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,376
- 5,264
- Thread starter
-
- #21
Kama na wewe uko serious ungetwambia Kwa nini Mabango hayakuwekwa!Kwenye mechi yoyote ya ligi kuu, kwa uchache kunatakiwa kuwa na mabango kadhaa kuwekwa uwanjani.
1. Bango la shirikisho.
2. Bango la logo ya ligi
3. Bango la wadhamini wa ligi (mdhamini mkuu, mdhamini mwenza, mdhamini anayeonyesha ligi kwa TV na mtangazaji kwa njia ya redio).
4. Bango la mdhamini binafsi wa klabu mwenyeji.
Katika hayo yote hapo juu, sio kazi ya mdhamini kwenda uwanjani "kusimika mabango".
Hiyo ni kazi ya timu mwenyeji wa mechi husika.
Mdhamini anazikabidhi timu zote kupitia bodi ya ligi, kitu kinachoitwa "vifaa" yakiwemo mabango, nembo n.k.
Kazi ya mdhamini inaishia hapo.
Kama uko serious kwenye huo uzi wako, nadhani unatakiwa kulifahamu hili.
Vinginevyo uwe ulikua unatania tu.
Ito twambie Kwa nini Mabango hayakuwekwa ndo pointi yangu, siyo hizo porojo, unataka kusema Kmc ndo wamegoma Kuweka mabambo au Tff ndo hawakuikabidhi Mabango?Asipokuelewa hapa hatoelewa mpaka Yesu anarudi
Akisoma hii atafuta uzi, wallahKwenye mechi yoyote ya ligi kuu, kwa uchache kunatakiwa kuwa na mabango kadhaa kuwekwa uwanjani.
1. Bango la shirikisho.
2. Bango la logo ya ligi
3. Bango la wadhamini wa ligi (mdhamini mkuu, mdhamini mwenza, mdhamini anayeonyesha ligi kwa TV na mtangazaji kwa njia ya redio).
4. Bango la mdhamini binafsi wa klabu mwenyeji.
Katika hayo yote hapo juu, sio kazi ya mdhamini kwenda uwanjani "kusimika mabango".
Hiyo ni kazi ya timu mwenyeji wa mechi husika.
Mdhamini anazikabidhi timu zote kupitia bodi ya ligi, kitu kinachoitwa "vifaa" yakiwemo mabango, nembo n.k.
Kazi ya mdhamini inaishia hapo.
Kama uko serious kwenye huo uzi wako, nadhani unatakiwa kulifahamu hili.
Vinginevyo uwe ulikua unatania tu.
We naye chizi? Kwa hiyo Mabango yalikuwepo?Akisoma hii atafuta uzi, wallah
Nenda ofisi za TFF ukaulize.Ito twambie Kwa nini Mabango hayakuwekwa ndo pointi yangu, siyo hizo porojo, unataka kusema Kmc ndo wamegoma Kuweka mabambo au Tff ndo hawakuikabidhi Mabango?
Dah... Kwa hiyo umeona wauza mitumba ni watu wa hadhi ya chini sana siyo?Kiswahili sahihi ni hiki: ungesahihisha kwanza makosa yako nadhani ungekuwa unamiliki hata baiskeli Sasa hivi. Inaonekana wewe ni mmiliki wa Banda la kuuza nguo za mitumba na ndio linalokupa kiburi cha kuharibu lugha
Kabla sijakujibu hili, umeshaelewa kazi ya kuweka mabango uwanjani ni ya nani ?Kama na wewe uko serious ungetwambia Kwa nini Mabango hayakuwekwa!
The same to you my dearMerry Christmas.
Hali ya chini hapa inahusikaje. Nazungumzia mazingira yanayokuzunguka ndio yanayokusababisha kudisregard simple norms. Kwako speech is speech as long as the audience understandsDah... Kwa hiyo umeona wauza mitumba ni watu wa hadhi ya chini sana siyo?
This sounds good.KMC Mmesahau Kuweka Mabango? πππ
Vipi umemaliza kusahisha mitiani za madogo wa primary?Kiswahili sahihi ni hiki: ungesahihisha kwanza makosa yako nadhani ungekuwa unamiliki hata baiskeli Sasa hivi. Inaonekana wewe ni mmiliki wa Banda la kuuza nguo za mitumba na ndio linalokupa kiburi cha kuharibu lugha
Ndugu yangu huelewi hata unayemshambulia ni nani.... Hebu soma reply zako za mwanzo kama mimi ndio ulikuwa unaniambia habari za wauza mtumba.Hali ya chini hapa inahusikaje. Nazungumzia mazingira yanayokuzunguka ndio yanayokusababisha kudisregard simple norms. Kwako speech is speech as long as the audience understands
Anayeweka mabango sio gsm ni tff na bodi ya ligiNaona hapa uwanja wa Ally Hassan Mwinyi Tabora kwenye hii mechi ya Kmc na Simba, hamna bango hata moja au ndo mmeona msihangaike kwenye mechi za Simba kuyaweka? Kwa jinsi Mashabiki wa Simba walivyo jaa, wangeweza hata kuyachana, Bora mmejiongeza!
Ok kama hiyo ni kweli mbona hata mabango ya nbc pia hayakuwekwa au ni kwa vile simba ni kubwa?Waliwaona wazee wa Simba pale Tabora walikuwa wengi mno wakaogopa kuweka
Kiswahili sahihi ni hiki: ungesahihisha kwanza makosa yako nadhani ungekuwa unamiliki hata baiskeli Sasa hivi. Inaonekana wewe ni mmiliki wa Banda la kuuza nguo za mitumba na ndio linalokupa kiburi cha kuharibu lugha