Ni utaratibu wa kuifanya biashara/kampuni yako iwe na viwango vya kimataifa kwa upande wa ubora kwenye menejimenti. Viwango hivyo.vinakupa faida tajwa hapo juu pamoja na zingine nyingi.
ISO 9001 inakuwezesha kuendesha biashara yako kikanuni bila kutegemea utashi wa mtu mmoja mmoja hasa kwenye kufanya maamuzi ya kimkakati.