Group za damu na uzazi wa mama na mtoto

JULIUS AFRICAN

New Member
Sep 23, 2015
1
0
Kwanini matatizo yanayotokea wakati wa kuzaliwa mtoto yanayosababishwa na Rh factors kwamba kama mama ni Rh- na mtoto ni Rh+ hayawezi kutokea kama mama na mtoto wana different blood groups?

Kwamba labda mama ana blood group A na mtoto ana blood group.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom