waweza pia kuziita gesti za kijani, zimetoweka, hazipo tena misitu imemalizwa vichaka vimefyekwa, miti imekatwa kufanya maendeleo ya binadamu. green villars hazikuwa na gharawa yoyote na zilikuwa hazijai sanasana risk kubwa ilikuwa ni kuonwa au kuchunguliwa na risk ya wanyama wakali na wadudu kama siafu. shida yake nyingine ilikuwa hakuna kulala ni short time too! vijana wengi wa kileo hawazijui labda kwa kusimuliwa tu