Sekema Member Joined Nov 25, 2012 Posts 55 Reaction score 12 Dec 27, 2012 #21 special agent said: hiyo namba ya customer care ya fastjet ukipiga uli upate msaada haipokelewi na wakati mwingine haipatikani kabisa ufafanuzi toka kwa wahusika plse? Click to expand... Mwnyewe nimejaribu leo mpaka simu imeisha chaji simu inaita tuu bila kupokelewa hawa nao wameanza taratibu, mwishowe watakuwa hawana tofauti na hao wa mabasi!
special agent said: hiyo namba ya customer care ya fastjet ukipiga uli upate msaada haipokelewi na wakati mwingine haipatikani kabisa ufafanuzi toka kwa wahusika plse? Click to expand... Mwnyewe nimejaribu leo mpaka simu imeisha chaji simu inaita tuu bila kupokelewa hawa nao wameanza taratibu, mwishowe watakuwa hawana tofauti na hao wa mabasi!