arusha kishaeleweka sana tuu mbona. bado tu kufunga kabisa ofisi zao mkoani hapo. Watanzania wote wangekua na fikra chanya na uzalendo wa kweli kama wakazi wa Arusha, hakika tungekua mbali sana tuu. mfano mzuri ni wakazi wa Arusha wanavyoutangaza na kuupenda mkoa wao, sijawahi kuona kijana au hata mzee amevaa T shirt imeandikwa jina la kuusifia mkoa wake zaidi ya Arusha. Big up Arusha mabadiliko yanaanzaga taratibu halafu yanasambaa. pipoooooooooooooooooooooooooos.