Jaribu kuwasiliana na Haase furniture wako mwenge unapita njia ya cocacola then utaona bango lao baada ya kukunja kulia mbele ya mnara mrefu wa mawasiliano. Yawezekana wao hawafanyi hizo graphics design lakini wanaweza kukuongoza kupata watu hao unaowatafuta.