Window diffender inafanya kazi mda wote cha msingi baada ya kufanya installation fanya updates na kuhusu drivers kama una modem wewe nenda kwa device manager alafu right click required device then nenda update driver na uache yenyewe itafute online wakati tayari modem yako ipo connected.