Bettylisa Member Joined Jun 16, 2014 Posts 29 Reaction score 3 Mar 19, 2015 #1 natafuta graphic desinger mkali ile mbaya...awe tayari kuajiriwa chap chap....nitumie portfolio kwenda: rndege@gmail.com From Reuben Ndege....Kwa mwenye vigezo ajaribu bahati yake.
natafuta graphic desinger mkali ile mbaya...awe tayari kuajiriwa chap chap....nitumie portfolio kwenda: rndege@gmail.com From Reuben Ndege....Kwa mwenye vigezo ajaribu bahati yake.
mandwa JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 1,502 Reaction score 372 Mar 19, 2015 #2 mshahara upoje?
Bettylisa Member Joined Jun 16, 2014 Posts 29 Reaction score 3 Mar 19, 2015 Thread starter #3 Mshahara sifahamu..kama upo interested, mcheki yey mwenyewe kwa hiyo email, atakuwa na majibu sahihi zaidi...
Mshahara sifahamu..kama upo interested, mcheki yey mwenyewe kwa hiyo email, atakuwa na majibu sahihi zaidi...
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,787 Mar 19, 2015 #4 Mkuu unatoa dili unafanyiwa unamkatia mtu chake anasepa, hii ya kufugwa mwezi mzima kunakosesha dili nyingi za maana!
Mkuu unatoa dili unafanyiwa unamkatia mtu chake anasepa, hii ya kufugwa mwezi mzima kunakosesha dili nyingi za maana!