Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,820
hello!
Waungwana hali yangu inazidi kuwa ngumu,nimehetimu elimu yangu kwa level ya shahada(B.A Public Administration) kwa muda wote huu nimetafuta kaz bila mafanikio kwenye namna ya kunisaidia tafadhal hata sehemu ya kujishikiza,niko Dar es salaam kwa sasa,natanguliza shukrani.
Juzi uhamiaji wametoa nafasi za kazi,nunua mwananchi ya juzi tarehe 14.02.2014!!!! Nakushauri tafuta Godfather uweze ingia walau kwenye written interview zen yatajulikana mbele ya safari mkuu
hello!
Waungwana hali yangu inazidi kuwa ngumu,nimehetimu elimu yangu kwa level ya shahada(B.A Public Administration) kwa muda wote huu nimetafuta kaz bila mafanikio kwenye namna ya kunisaidia tafadhal hata sehemu ya kujishikiza,niko Dar es salaam kwa sasa,natanguliza shukrani.
pole sana mkuu, kitaa kinabana sana ila komaa tu kutuma application one day YEs,
Tupo wengi sana endelea kuwa na hope.
gpa una ngapi? na umesoma chuo gan ?
Tupo wengi sana endelea kuwa na hope.
si ameomba msaada wa kusaidiwa sasa kwani mimi nilivyouliza unahisi siwezi kumsaidia?. According to his/her course i can help him/her. Jaribu basi kukua kifikra bwana mdogo.We n HR?
Hello.
Waungwana hali yangu inazidi kuwa ngumu, nimehetimu elimu yangu kwa level ya shahada (B.A Public Administration) kwa muda wote huu nimetafuta kazi bila mafanikio kwenye namna ya kunisaidia tafadhal hata sehemu ya kujishikiza, niko Dar es salaam kwa sasa,natanguliza shukrani.