Graduate ni mtu aliemaliza chuo na kuanza kazi kabla hajaongeza taaluma ya ziada. fresh graduate ni yule aliemaliza tu chuo na hana uzoefu wa kaz husika ya koz yake ila graduate anaweza akawa fresh from school ama akawa na uzoefu kazini wa kuanzia mwaka 1 na kuendelea kabla kupokea taaluma ya juu zaidi, kwa engineers from graduate to professional eng !