GPA ipi wanachukua kuingia degree?

Hapo utatumia GPA ya Mwaka wa mwisho.

Lakini nyongeza ni kwamba vyuo vingi vinachukua kuanzia GPA ya 3.0 kwa level ya diploma kuingia bachelor lakini unaweza okota hata chuo kinacho chukua kuanzia GPA ya 2.7
 
Ukijumlisha hizo zote utakua na 3.4 GPA ambapo vyuo vingi huchukua 2.7GPA ....

NB: hongera sana kwa hiyo GPA I wish you all the best
Sio kwelii...hawaangalii average Bali gpa ya mwaka wa mwisho iwe above 3.0 according to ndalichako
 
Sio kwelii...hawaangalii average Bali gpa ya mwaka wa mwisho iwe above 3.0 according to ndalichako

yan hata kwenye TCU guide book wameandika wanataka GPA ya NTA level 6 hawajaandika avarage GPA kwahyo NTA level 6(ordinary diploma) ni mwaka wa ngap huo wa 2 na wa 3 au ni mwaka wa 3 tu
 
Ipo hivi: [emoji1313][emoji1313]
GPA inayotizamwa ili ukidhi vigezo vya kujiunga degree ni average ya gpa ya semester 1 + semester 2 ya level 6.....ko ukipata jibu hapo ndio utajua kama umekidhi vigezo au laa...
Na hata ukienda kuchukua trancript utakuta GPA yako wameikokotoa kwa style hiyo.
 

All the best
 

Na NTA level 6 ni mwaka wa ngap
 
Mininavyoelewa Kuna
Basic technician certificate (NTA level 4)
Technician certificate (NTA level 5)
Ordinary diploma (NTA level 6)

Kwahiyo inayochukuliwa Ni G.P.A ya mwisho hiyo Ordinary diploma




Lakini kwa health program Kama C.O wanachukuliwa kwa Average ya B+View attachment 1973920
 

Hapana sio B+.......sasahivi ni B plain ( kuanzia 3.0)
 
Hapana sio B+.......sasahivi ni B plain ( kuanzia 3.0)
Hapana Ni B+ kwa program za afya na B Ni kwa program za Education ,Ingia kwenye website ya TCU Kasome admission guidebook ya 2021/2022 for equivalent utaona hayo maelezo.
 
Je kwa beat student wanaangalia G.P.A ya mwaka wa mwisho kama hivyo au best student wanajumlisha G.P.A za miaka yote ?
 
Hapana Ni B+ kwa program za afya na B Ni kwa program za Education ,Ingia kwenye website ya TCU Kasome admission guidebook ya 2021/2022 for equivalent utaona hayo maelezo.


Hio ndio my evidence...TCU guidebook 2021/2022
 
Kwa nini iitwe ordinary diploma mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…