Hawa vilaza wanapitapita sana JF kuchota busara za wazalendo; hili jambo lilizungumziwa sana humu na Zitto akalipeleka bungeni kwenye kamati yake na hapo ndio Ndullu na genge lake wakazinduka toka usingizini!! Tutawazindua sana ingawa wao ndio wanakula bata!!
At this time we are not trading because we don't have any; as we are building our reserve there is no point in making a lot of noise about it!!Tatizo la nchi hii maneno mengi sana lakini vitendo sufuri.