i Quote. Dr Slaa alisema, Kuirudisha CCM madarakani ni MAAFA, MAAFA, watu wengi hawakumwelewa, sasa subirini hii mikataba mwone madudu
1. Liganga/ mchuchuma = Tshs 10 Trillion
2. Uranium hapa mm sisemi
3. dowans inadai 185 bilioni na serikali it seems inataka kulipa,
4. umeme unapanda mwakani, this means bidhaa zote zitapanda, MAAFAAAAAAAAAAAAAA, hadi mmoja mmoja aelewe kwamba kura ilikuwa na
maana gani, then 2015 tufanye maamuzi kwa hali ngumu ya maisha, tusubiri 1 year