Government signs more Richmond-type contracts

Nilisema kwamba wakati uchaguzi unaendelea kupita sign za kutosha. Mradi wa mafuta na BG Group nadhani nao unakuja maana wazawa tumepewa 12% wao wakachukua 60% kisa wana own asset and capital.

Hilo ni chaka la pili, Kafulila nadhani ni muda muafaka wa kurusha masumbwi mawili matatu ukachukua easy points kwa waziri wa nishati.
 
Hujaweka wazi ikiwa hata katika mikataba hii kuna kipengere cha capacity charge au la, na kama kipo kimeweka viwango vipi vya malipo hayo?
 
i Quote. Dr Slaa alisema, Kuirudisha CCM madarakani ni MAAFA, MAAFA, watu wengi hawakumwelewa, sasa subirini hii mikataba mwone madudu
1. Liganga/ mchuchuma = Tshs 10 Trillion
2. Uranium hapa mm sisemi
3. dowans inadai 185 bilioni na serikali it seems inataka kulipa,
4. umeme unapanda mwakani, this means bidhaa zote zitapanda, MAAFAAAAAAAAAAAAAA, hadi mmoja mmoja aelewe kwamba kura ilikuwa na
maana gani, then 2015 tufanye maamuzi kwa hali ngumu ya maisha, tusubiri 1 year
 
Je hapa kuna 10 percent ya wadau waliowezesha?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom