Imefika wakati serikali/bunge ikaweka sheria kuhusu matumizi na manunuzi ya magari. Magari ya serikali yawe chini ya ya cc 3000. Exceptions iwe kwa idara za usalama lakini siyo V8. Jirani zetu Kenya wanatumia huu utaratibu. Hii itapunguza fuel expenses na bei ya manunuzi.
Pia tufanye sensa ya magari yote ya umma/serikali zenye cc zaidi ya 3000.