Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 1,056
- 1,484
SawaJf nayo holla
Any way ngoja waje wataalamu
Wakuu ni hivi baada yakuona miaka flani niliwahi soma engineering drawing Nikaona si vibaya nikanunua application ya CAD iitwayo Gnacad lakini wakuu tangu tu nilivyo nunua purchase Ili cancelled automatically na wakasema pesa iliyo lipwa itakuwa refunded na status kwenye Google play status imeandikwa refunded lakini pesa sijapokea nime jaribu kufungua messenger Yao hola.
Ni mecomment kwenye post yao wanaonesha kunisaidia lakini hola. Sasa sielewi nifanyaje nipate pesa zangu. Ila wakuu Dunia ngumu sana inajitahidi ufanye hivi hola daah
Anaweza kupokea awasiliane na wahusika kama ni bank au mitandao ya simu.Case ya refund via hizi MasterCard na visa sio tatizo la aliye refund ni tatizo la hapa kwetu. Tanzania BOT hawaruhusu kulipwa au kupikea payments via MasterCard au visa au PayPal, hivyo Google wamekulipa lakini mifumo hapa hairuhusu payment kuingia kwenye account yako
Binafsi nimeahapoteza payments nyingi, nimeshindwa kuuza services eBay kwa sababu hiyo
Thanks for details. Bado ni weakness za mifumo yetu ya ndaniAnaweza kupokea awasiliane na wahusika kama ni bank au mitandao ya simu.
Kwa case za refunds, pesa hurudi ila haziingii moja kwa moja mpaka uwasiliane nao uwape taarifa za hizo refunds kisha wana release.
Tanzania ni nchi ngumu sana kuishi. Kuishi Tanzania ni sawa na kuishi kuzimuCase ya refund via hizi MasterCard na visa sio tatizo la aliye refund ni tatizo la hapa kwetu. Tanzania BOT hawaruhusu kulipwa au kupikea payments via MasterCard au visa au PayPal, hivyo Google wamekulipa lakini mifumo hapa hairuhusu payment kuingia kwenye account yako
Binafsi nimeahapoteza payments nyingi, nimeshindwa kuuza services eBay kwa sababu hiyo
Labda Mastercard, visa na paypal ndio hawajaruhusu malipo kuja kwa watumia huduma wa Tanzania, lakini bado inabaki kuwa jukumu la BOT kufanya hilo liwezekane
Mastercard ya PayoneerUmelipia kwa kutumia nini?
Virtual card?
au card za bank?
Niliwasiliana na payoneer wanadai Google ndio wanahusikaAnaweza kupokea awasiliane na wahusika kama ni bank au mitandao ya simu.
Kwa case za refunds, pesa hurudi ila haziingii moja kwa moja mpaka uwasiliane nao uwape taarifa za hizo refunds kisha wana release.
hua nikifanya malipo yoyote online kwa virtual card na kumaliza, nafuta card naunda mpya.Dah pole Sana mimi Kuna app nilidownloa muda kidogo Sasa ikanizalizumu kuidanganya kwamba nilipie baada ya muda wa majaribio baada ya mimi kumaliza kazi nayo sikukumbuka cancel bwana wee si juma pili naamka asubui naona sms ya Airtel money pesa imeenda Google akili ikaruka kuona kiasi nilicholipa nikazama kwenye Gmail naona sms yao wananipongeza kulipia app hio.
Nilichofanya niliomba pesa zirudi na nikasema nimebuy accident juma 4 asubuhi naona mzigo umerudi nilichofanya nilizizitoa nikaenda jipongeza
Umeshaitoa?Daah! Kumbe refund ilitumwa mbwana sema ilikua inagoma kuonekana