Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 248
- 469
Ni app au?Google translate kawa mkombo kwa wanaoijua na kuitumia utanikuta naandika kifaransa balaa kumbe wala sikijui au mtu anaandika kiingereza kumbe wala hakiju anaandika txt kiswahili anatranslate halafu anaonekana msomi kumbe hajui kitu hahahahaha
Kama unatumra google tafsiri jichekeshe hahaha:
Gentleman,Google translate kawa mkombozi kwa wanaoijua na kuitumia utanikuta naandika kifaransa balaa kumbe wala sikijui au mtu anaandika kiingereza kumbe wala hakiju anaandika text kiswahili anatranslate halafu anaonekana msomi kumbe hajui kitu hahahahaha
Kama unatumra google tafsiri jichekeshe hahaha:
Kuandika lugha si sifa yenye maana sasa hivi. Nasikia China kuna course wanazifuta ikiwemo hii ya kujua malugha lugha. Ai inaenda kuubadili ulimwengu, tusipobadilika sijui itakuaje.Google translate kawa mkombozi kwa wanaoijua na kuitumia utanikuta naandika kifaransa balaa kumbe wala sikijui au mtu anaandika kiingereza kumbe wala hakiju anaandika text kiswahili anatranslate halafu anaonekana msomi kumbe hajui kitu hahahahaha
Kama unatumra google tafsiri jichekeshe hahaha:
Bado Google translate ina makosa yanayotakiwa kufanyiwa marekebisho..bora hata hizi AI zinajitahidi kuleta tafsiri halisi km Chat GPT, Gemini,DeepSeek na Grok...Usiiamini sana inaboronga wakati mwingine kutoka lugha ya kiswahili kwenda hizo .
NI APP PIA KUNA WEBSITENi app au?
Hata wazungu nao wanaboronga tu wanapoongea kiswahili, muhimu kueleweka tu, lugha lenyewe la wakoni halistahili heshima ni kuliboronga tu.Usiiamini sana inaboronga wakati mwingine kutoka lugha ya kiswahili kwenda hizo lugha nyingine za kigeni.
Inatafisiri kutoka Swahili kwenda English language mkuu TlaatlaahGentleman,
hivi hiyo Summarize Thread (AI) hapo juu kidogo ya title ya bandiko lako, hua ina kazi gani?🐒
Google trans. itakuumbua siku moja kwani inavyotafsiri kwa anayeijua lugha husika atagundua umetumia google translate -inaweza ikabadili dhana/wazo ulilokusudia liwafikie walengwa wako.Google translate kawa mkombozi kwa wanaoijua na kuitumia utanikuta naandika kifaransa balaa kumbe wala sikijui au mtu anaandika kiingereza kumbe wala hakiju anaandika text kiswahili anatranslate halafu anaonekana msomi kumbe hajui kitu hahahahaha
Kama unatumra google tafsiri jichekeshe hahaha:
Link?NI APP PIA KUNA WEBSITE