๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐˜๐—ผ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ฎ ๐—ณ๐—ฒ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฟ๐—ฒ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ถ๐˜๐˜„๐—ฎ ๐—ค๐˜‚๐—ถ๐—ฐ๐—ธ ๐—˜๐—ฑ๐—ถ๐˜

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,293
Reaction score
2,620


โšก Kama utakua unatumia app ya Google photo nazani unaijua jinsi inavyofanya kazi kupitia simu zetu si ndiyo !!

๐Ÿ’ญ Sasa Google photo wameleta feature mpya inaitwa Quick Edit inakupa nafasi ya kuweza kuediti picha yako mara ya mwisho kabla ya kuituma kwa watu wengine, feature hii inatokea baada kubonyeza sehemu ya share button.



๐Ÿš€ Ukiwa una share photo kwa watu wengine utaweza kuona Feature ya Quick Edit ikiwa Kuna kitu kwenye Picha unahitaji kubadilisha au kukificha kabla ujaamua kushare kwa watu wengine utaweza kuona kuna ku crop picture, enhanced.



๐Ÿš€ Mtumiaji pia ana uwezo wa kuzuia feature hii kuonekana kwenye app ya Google photo akiamua, Quick Edit sio badiliko kubwa tunaelewa lakini Kuna namna itaweza kusaidia baadhi ya watu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ