Android M imetoka juzi juzi, lakini imeonekana kuwa na bugs kibao tu.
Review yangu binafsi.
-Jana nilifanikiwa kueka hii android M kwenye N5.
Baada yakukamilisha process nzima nilichokikuta kwanza kabisa kwenye internal storage ni GB 12 wakati ilikuwa na GB 32, yaani GB kama half hivi zimepotea.
Nilikuwa shocked, lakini nikatry different ways kurecover, baadae nikafanikisha kwakuwipe cache, zikarudi vile vile.
-Internet connection
Upande wa internet nikiwasha tu data ndani ya sekunde kadhaa simu inajirestart yenyewe.
-Battery
N5 google walishindwa kwenye battery bora hata walivyo acha kuzitengeneza, lakini kwenye hii android M, angalau kidogo sana battery draining sio sana.
Nilichokifanya nikuondoa tu ROM yenyewe mana ata speed iko slow.