Kama siyo tusi basi nini? Kwa hiyo ni sawa kumuita baba yako Niga?
Sio heshima kwa Baba yangu mana ni mtu special dunia kwangu ila wengine wote ma nigger tu pia hata mimi nigger tu, kwani inapunguza nini? Nigger si kitu chenye asili nyeusi? Sasa sisi africa asili yetu nyueupe? Hao weusi waliopo marekani wanaitana ma nigger ila ukiitwa na mweupe linakuwa tusi si upuuzi huu, hat wewr nigger tu
Wameomba msamaha na siyo wao google bali ni contributers mbalimbali wanao fanya hayo makitu kupitia google map maker
So wamei diss able hyo app maker for a while
Na siyo tu hivyo last week ilikuwa ishu ya picha ya kirobot cha android kikikojolea apple, ilionekana huko indonesia kwenye google map ya eneo fulan hali iliyoonekana kama tusi toka kwa google kwenda kwa apple inc
But wameomba msamaha kwa yote na kuisimamisha hyo map maker for a while
Kwani baba yako siyo mweusi? au wewe ni mchotara labda, kwa maana kama Niga siyo tusi na neno la Mtu mweusi na baba yako pia ni mweusi basi unaweza pia ukamwita Niga asubuhi ukamwamkia shikamoo baba niga!
Yani unachoandika unaonesha kichwani kwako kama hakuna ubongo au shule yako haijakusaidia mtu aliyesoma hata STD 7 angenielewa ninachongea pole sana tatizo una shinda madrasa sana
Kwani nigga tusi? Acheni kujidumaza akili
Tusi linakuwa kwa yule aliekuita. Mweusi mwenzako akikuita sio tusi ila kwa ngozi nyeupe ndo tusi.
hahahah! Na wewe unaaamini huo ----- kwamba kampuni yenye teknologia na watu makini kama goolge wanaweza kufanya kosa kama hilo kwa mtu kama Raisi wa Marekani bila ya wao kujua?
Jibu sahihi kwa Barbarosa labda nikushauri Mkuu ukishakuwa member wa Google Map Maker unaweza kuchangia chochote katika vingi kwani anwani yako ina uhakika, Google Map, YouTube nkUshawah ku add chochote ktk google map?
Nina nyumba kadhaa na mitaa kadhaa ya Hapa Tz nimeiname kupitia google map maker
So najua kuwa inawezekana
Kwani nigga tusi? Acheni kujidumaza akili