Kwa mujibu wa ramani Masafa kutoka Kati ya mji hadi ziwa Tanganyika haya zidi kilometa 6 hadi 8. Aibu CCM kushidwa kuwapa wakazi wa kigoma maji ya uhakika kipindi cha miaka zaidi ya 50 serekali ya CCM pamoja na kuwepo chanzo hakika cha maji.
Kuna mji Tanzania usio na tatizo la maji. Takwimu zinazotolewa na wanasiasa kuhusu asilimia ya watu wanaopata maji safi mjini na vijijini unishangaza sana.sijui wanzitoa wapi?
Magufuli anaweza kwenda na gia kwamba "Nitageuza maji ya Ziwa Tanganyika yawe juice, mnachota tuu na kujinywea! Hapa ni kazi tuu"
Makofi kwa sana kutoka kwa wale wenye sare za kijani na njano.
ccm wakuletee maendeleo we nani...??
Maendeleo ni haki ya vigogo wa ccm na familia zao.
Wewe common mwananchi na mimi kwa ccm tunajulikana kama "malofa na wapumbavu"...
Ni ajabu kuwa tunashindwa kuunganisha nguvu dhidi ya "wajanja na matajiri" wa ccm... Wakishatuacha solemba ndo tunalalamikaaaa..!!