Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,432
hii ni device ambayo google wameizindua leo officially ambayo inafanya kazi ya kuplay contenet zako za kwenye laptop,tablet au simu unaziona direct kwenye t.v(flatscreen) yako kwa kupitia google chromecast unayoichomeka kwenye hdmi port ya t.v yako halafu unaunganisha na wi-fi kufanya connection ya device hizo bili,unaweza kustream video online,musicn.k,
kwa sasa hivi google chromecast inafanya kazi kwenye device za android na ios tu na hawana mpango wa kupeleka katika device zinazotumia window o blackbery os kwa sasa
google chrome cast 1 inauzwa us dollar 35 na zimeanza kuuzwa marekani nchi nyingine zitafuata
dah naona wazungu wanazidi kuwaza tu jinsi gani y akutumalizia visenti vyetu vilivyobai mfukkoni!!
reference:Google Chromecast - Digital Media Receivers - CNET Reviews
ni device mkuu!!!Sasa hiyo Google Chromecast ni app au ni device?
ni device mkuu!!!
hii ni device ambayo google wameizindua leo officially ambayo inafanya kazi ya kuplay contenet zako za kwenye laptop,tablet au simu unaziona direct kwenye t.v(flatscreen) yako kwa kupitia google chromecast unayoichomeka kwenye hdmi port ya t.v yako halafu unaunganisha na wi-fi kufanya connection ya device hizo bili,unaweza kustream video online,musicn.k,
kwa sasa hivi google chromecast inafanya kazi kwenye device za android na ios tu na hawana mpango wa kupeleka katika device zinazotumia window o blackbery os kwa sasa
google chrome cast 1 inauzwa us dollar 35 na zimeanza kuuzwa marekani nchi nyingine zitafuata
dah naona wazungu wanazidi kuwaza tu jinsi gani y akutumalizia visenti vyetu vilivyobai mfukkoni!!
reference:Google Chromecast - Digital Media Receivers - CNET Reviews
Mkuu kwani huelewi device zina drivers? sasa hizo drivers ndio compatible na android na IOS tuSasa mbona umesema inafanya kazi kwenye devices za android na iOS tu?
asante mama totoMkuu kwani huelewi device zina drivers? sasa hizo drivers ndio compatible na android na IOS tu
nifahamishe kidogo sijawahi isikia!!!ever heard of Nokia wireless music receiver?
mmh ile ilikuwa semi computer kabisa kabisa hata sijui ile project imeishia wapi tena,kama nakumbuka sawasawa walikuwa wakiuza moja laki 2!!!Hiki kifaa kina Idea ya Kufanana na kifaa kimoja hv waliwah kuleta vodacom... Vodacom Web Box... Japo kile kilikua na kaz nyng Kama kuperuz........... Na kilikua nasehem ya simcard pia kilikua kikubwa na kilikua port za ac cable
aaah mchina tena hashindwi kitu yule bado tu havijaanza kumwagika kariakoo wenzetu na sisi tuvikimbiliehv vitu vipo vingi sku hz tatizo internet speed. sjajua kama wachina hawajaleta vya tv za zamani ambazo ni za resolution ndogo.
mmh ile ilikuwa semi computer kabisa kabisa hata sijui ile project imeishia wapi tena,kama nakumbuka sawasawa walikuwa wakiuza moja laki 2!!!
ilikua Kama Simu tuu Ile