Wataalam wa Google adsense naombeni mnisaidie, Katika ukurasa wangu kwa siku ninapata viewers 16000, no Watu wanaofuatilia Matangazo wanafika hadi 3000! ila cha kushangaza malipo ninayolipwa ni kidogo sana! nimefuatilia Mtu fulani anaishi Usa yeye analipwa karibu 1000 Usd per Month ila mimi hata 100 Usd sifikishi! naombeni msaada wenu wataalamu wa Adsense, au kuna mahali pana hitilafu?