Google adsense inauzwa

Google adsense inauzwa

Naisoma360

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2015
Posts
823
Reaction score
493
google ads inauzwa. ina dola 29 na imetoa pesa zaidi ya mara 4, kwa anayehitaji 70,000tzsh nampa.
 
Kwann unaachana na hii biashara bro unatukatisha tamaaa tunaoanza na hatuna hata izo adse
ukipata unajaribu kubadili upepo kidogo...Kama unaanza jitahidi kadri ya uwezo wako ila ukishapata jaribu pia na kwingine kama utaweza.
 
Kama muhitaji Yupo, Kuna Account nyingine ina dola 56 imechukua pesa mara 5, inauzwa kwa dola 36...welcome!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom