Goodnight Messages

Nice words for beautiful ladies, duh! nimezikubali hizi......ila kwa sisi wengine tusiokuwa na pakuzituma hizi, ni full maumivu na mateso bila chuki tu hapa.

Thanks for the complement DSpecial. Usihofu Mungu atakupa wako kwa wakati wake. Na utapata nicest words toka kwake.
 
ivi mkitaka kulala ndo mnakua wazungu,ebu tupieni za kiswahili
"ulale mnono,njoz njema"
purely Tanzanian na imethibitishwa na TUKI,BAKITA na TBS
 

hahaaaa,
 
ivi mkitaka kulala ndo mnakua wazungu,ebu tupieni za kiswahili
"ulale mnono,njoz njema"
purely Tanzanian na imethibitishwa na TUKI,BAKITA na TBS

hakuna limit ya lugha mkuu.
 
najua unatafuata namna tofauti ya kudanganya orodha ndefu ya wadada ulionao, sabu ungekuwa na mmoja usingehangaika kuuliza aina tofauti ya sms, ungetuuliza mikakati ya kufanikiwa kimaisha na kama hujaoa namna ya kummke mwema maishani.

hmmmmm.
 
Politicians are everywhere,they promise to build a bridge even where there is no river,,Have a nice sleep and take care of our love
 
Kertel, loool. Sikulaumu.
 
you are special to me single night without you is like one year to me
 
I always think of you, but I always fail to know the reason why. Is there something else I should know about you.. But there is one thing that I know is true. That life will always be sad without you..

Sweet dreams!
 
ivi mkitaka kulala ndo mnakua wazungu,ebu tupieni za kiswahili
"ulale mnono,njoz njema"
purely Tanzanian na imethibitishwa na TUKI,BAKITA na TBS

Kithuuungu ndio kinapendezaga kwa utapeli.... yaani kinakoleagaje ubongoni, maneno yake hayafutikiii na yanatekenya haswa unaingia kingi unajiachiaaaaa unapgwa changa la macho!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…