kazi ni kwenu!!!
<br>unamaana gani mdau?
Sijui nini @ 2saidie mwenzako 2nakufa daah bdo ni ishu kweli
mi nalipia bundles kama kawaida mkuu ila ninachohitaji nakitafutia kwenye torrents tu, natumia voda naweka bundle ya mwezi then nashusha vitu taratiiibu.....Sijui nini @ 2saidie mwenzako 2nakufa daah bdo ni ishu kweli
<br>
wanaotumia proxy wengi wanatumia voda....kazi ni kwako....wakiwa wengi kazi ni kwenu!! binafsi yangu mimi si mpenzi sana wa proxy ila nashusha madude kwa torrents mbaayaaaaaaaaa....labda siku zikifa na torrents.....