Gomez Da Rosa and Chris Mugalu out, imetosha

Yaani upate chance 5 usifunge hata moja ubora wake upo wapi hapo zaidi ya kutuumiza mashabiki halafu usilete dharau kwa kagere kiasi hicho kama hujui uwezo wake wa kufunga ulivyo mkubwa
Wanasema Muga anajua jinsi ya kijiposition.
Na kuhold mipira
Na kukaba mabeki wa timu pinzani
Hayo ndiyo majukumu yake.
Ninavyo kumbuka mechi zote za CAF msimu uliopita alifunga goli moja tu la Penati dhidi ya AS.Vita
Kongo.
Mechi nyingine zote alikuwa anajiposition.
 
Wanasema Muga anajua jinsi ya kijiposition.
Na kuhold mipira
Na kukaba mabeki wa timu pinzani
Hayo ndiyo majukumu yake.
Ninavyo kumbuka mechi zote za CAF msimu uliopita alifunga goli moja tu la Penati dhidi ya AS.Vita
Kongo.
Mechi nyingine zote alikuwa anajiposition.
alifunga mawili na la el merreikh hapa dsm ila jamaa ni liability sana wala siyo wa kumtegemea
 
Najua kuna mtakaonipinga sana, cha kwanza Chris Mugalu hata kama wakija Bayern munich hapa akawafunga kwangu nitalichukulia ni lijinga tu limepiiga fluke halina tofauti na Giroud tena afadhali ya yule mzungu hata goal anajua liko wapi

Kuhusu kocha nilimpenda sana mwanzoni ila ukweli ni kwamba hii ligi ya 16 teams(teams zina hasira kali mwaka huu na Gomez style yake ileile hadi mabeki) na mtindo wake wa kubagua wachezaji ajiandae tu Mungu tusaidie simba tutetee taji which is going to be hard sababu nimeambiwa kuna mtu mkubwa anambeba Mugalu na kocha ila sisi tutaamua mwishoni tuaona nani mshindi basi

Hivi mimi siyo mtaaluma wa mbinu ,siyo kocha ila kama dilunga alimsumbua Djuma shabani akamzuia kupanda halafu kocha akamtoa na kufanya makorokocho ili kijana wake sijui nani wake mugalu abaki uwanjani ingekuwaje kama ile nafasi ya kushoto angecheza 11 Gadiel michael , tatu zimbwe.......namba 7 kapombe...mbili Israel Mwenda kwani kingeharibika nini

Yaani itumike hata champions league wana uwezo wote wa kupanda na kuzuia kwani lazima kina peter banda?

Any way labda tunahitaji akili mpya nasikia mzungu kila siku anatishia kuondoka anabembelezwa , Mugalu anakosa magoli anacheka na kutafuna jojo TUAMKE SASA MASHABIKI WA SIMBA TUWE AGGRESIVE NDIYO TUNAWAPENDA MO NA BARBARA ILA SASA HALII INAPOELEKEA MAZOEA YANAAANZA KUWA MABAYA CHUKUENI HATUA KAMA VIPI MZUNGU NA KIPENZI CHAKE SIJUI MPENZI WAKE MUGALU WASEPE
Kila timu hufungwa, mpira wa Miguu ni mchezo wa makosa, sioni tatizo la kocha wala mugalu.

Mechi ya simba na Yanga ina mambo mengi
 
Back
Top Bottom