Godoro gani la spring ni zuri?

😂 🤣 Hapa linhekuwa shindano la hela nishalos mpunga, kumbe unaweza ukaishi na kitu na usikijue..
Nimesahau lile godoro jina lake, herufi zinakuja na kupotea, ni zaidi ya miaka mitano lipo na ngoma fresh.
Nitakutizamia nikifika mtaani
 
Huyajui mkuu? Yanawekwa spring kama magari pia yanatembea, unalala zako kimara unaamka kwa Mungu kuja kustuka kumbe ulishakufa kitambo na ushazikwa
mkuu mbona umeniongezea utata jamani
 
Nunua Tanfoam spring (Lolita) nchi 10 hutojutia
 
Hayo magodoro yanapunguza maumivu ya migongo kwa asilimia kubwa...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…