Kweli tumezidisha mahaba kwa ukawa, mimi natamani mabadiliko isipokuwa penye ukweli lazima tuseme. Nilihudhuria mkutano huo na ni kweli lowasa alisema anamwamini sana lema ni mchapa kazi na anamtuma Tanesco ikishindikana ampigie simu, kauli hiyo hiyo aliitoa mwanza kwa wenje