GE2025 Glory Tausi apita nyumba kwa nyumba kuomba kura jimbo la Kawe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Mgombea ubunge wa Kawe kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Glory Tausi, leo Ijumaa, Septemba 12, 2025 ameendelea na kampeni zake kwa staili ya kupita nyumba kwa nyumba na vijiweni katika mitaa mbalimbali ya jimbo hilo. Picha na Michael Matemanga

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…