Huyo ni tapeli, jaribu uone. 😂Kuna jamaa mmoja alikuwa mwizi na tapeli balaa lakini kutokana na muonekano wake alikuwa hakai mahabusu, wanawake wanachanga hela wanamtoa.
Nakumbuka siku moja jamaa alilewa akaanza kupiga watu ovyo kwenye baa tulipo,ikapigwq simu Polisi wakaja,wakamchukua,chaajabu Kesho yake watu kibao wakaenda kumuwekea dhamana,tena si ndugu yao
Huyo alikuwa full package, both uzuri wa ndani na maokoto ya nje🔥Umenikumbusha chuo kuna pisi ilikua nzuri fayaa halafu ana bonge la takoo, kubwa zaidi ana gari.
Kipindi cha mitihani tunakutana madarasa yote ya course yetu, yeye alikua anapenda kuja kwa kuchelewa.
Akiingia sasa wanafunzi hadi lecturers wote macho kwake! Binti ni mzuri yule🙌